Ijumaa, 28 Machi 2014

SUPER SAMI YAANZA SAFARI ZA IRINGA

Kampuni ya mabasi ya super sani imeanza safari kati ya mwz-iringa kupitia mtera kampuni ya super Sami ni kampuni yenye mafanikio makubwa sana pia imenunua mabasi mawili Aina ya Zhongtong kutoka china.