Kwa wateja wetu watakao penda mabasi ya Howo bus mawasiliano 0765363169
Ijumaa, 28 Machi 2014
SUPER SAMI YAANZA SAFARI ZA IRINGA
Kampuni ya mabasi ya super sani imeanza safari kati ya mwz-iringa kupitia mtera kampuni ya super Sami ni kampuni yenye mafanikio makubwa sana pia imenunua mabasi mawili Aina ya Zhongtong kutoka china.
nice bus
JibuFuta