Alhamisi, 3 Aprili 2014

UJIO WA KAMPUNI MPYA YA SUPER VENTURE

Ujio Mpya Wa kampuni ya mabasi ya super venture express ambayo yatafanya safari zake Kati ya mwz-Dar nikampuni yenye mabasi ya Zhongtong kutoka china, Mabasi yakiwa tayari yanakaribia kufika bandarini Mombasa baada ya wiki moja

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni